Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa
(IRUWASA)
Matangazo
ega-svg-tree
TAARIFA KWA UMMA
22nd Sep, 2026
IRUWASA inawataarifu na kuwatahadhalisha Wadau na Wakazi wote wa Manispaa ya Iringa kuwa kumekuwa na wimbi kubwa la wizi wa mita za maji katika maeneo mbalimbali. Wananchi wote mnaombwa kushirikiana na IRUWASA kutokomeza changamoto hiyo kwa kutoa taarifa zitakazowesha kuwabaini na kuwakamata watu wanaojihusisha na wizi wa mita za maji. Piga bure 0800 110 122 au 0713 353 695. Zawadi nono ya shilingi 500,000/= (laki tano) itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa Wahalifu hao.
Mpangilio