WCF WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA IRUWASA
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeendesha semina kwa watumishi wa IRUWASA kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu majukumu, huduma na stahiki mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo kwa wafanyakazi wanapopata madhara yatokanayo na kazi. Kupitia semina hiyo, watumishi wamepata fursa ya kufahamu kwa kina masuala mbalimbali yanayohusu WCF, ikiwemo haki zao, taratibu za kupata fidia na hatua zinazopaswa kufuatwa pale mfanyakazi anapop...