IRUWASA YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA ESAWAS
Hii ni tuzo muhimu ya kikanda inayotolewa na Eastern and Southern Africa Water and Sanitation Regulators Association (ESAWAS) kwa mamlaka au taasisi za maji na usafi wa mazingira zinazofanya vizuri zaidi katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Kusini. Cheti hiki kinaonyesha kuwa Iringa Water Supply and Sanitation Authority (IRUWASA) ilitambuliwa mwaka 2025 kama moja ya taasisi bora zaidi katika utoaji wa huduma za maji na usafi wa mazing...