Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa
(IRUWASA)
Habari
ega-svg-tree

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeendesha semina kwa watumishi wa IRUWASA  kwa  lengo la kuwajengea uelewa kuhusu majukumu, huduma na stahiki mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo kwa wafanyakazi wanapopata madhara yatokanayo na kazi. Kupitia semina hiyo, watumishi wamepata fursa ya kufahamu kwa kina masuala mbalimbali yanayohusu WCF, ikiwemo haki zao, taratibu za kupata fidia na hatua zinazopaswa kufuatwa pale mfanyakazi anapop...

Soma Zaidi

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Iringa (IRUWASA) wamepata mafunzo kuhusu afya ya akili, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa afya ya akili na ustawi wa watumishi katika mazingira ya kazi na maisha ya kila siku. Mafunzo haya yametolewa na Dkt. Garvin Kweka, daktari bingwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kituo cha Iringa. Katika mafu...

Soma Zaidi

Hii ni tuzo muhimu ya kikanda inayotolewa na Eastern and Southern Africa Water and Sanitation Regulators Association (ESAWAS) kwa mamlaka au taasisi za maji na usafi wa mazingira zinazofanya vizuri zaidi katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Kusini. Cheti hiki kinaonyesha kuwa Iringa Water Supply and Sanitation Authority (IRUWASA) ilitambuliwa mwaka 2025 kama moja ya taasisi bora zaidi katika utoaji wa huduma za maji na usafi wa mazing...

Soma Zaidi

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA) wametembelea IRUWASA kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika mbinu mbalimbali zinazotumika katika utoaji wa huduma za majisafi na usafi wa mazingira. Katika ziara hiyo, watumishi wa AUWSA wamepata fursa ya kutembelea baadhi ya miundombinu muhimu ya IRUWASA ikiwemo Kituo cha Uzalishaji Maji cha Ndiuka, ambapo walijionea hatua mbalimbali za uzalishaji na usambazaji wa majisaf...

Soma Zaidi
Mpangilio