Watumishi wa IRUWASA wakikabidhiwa vyeti siku ya kuhitimisha mafunzo ya mpango wa kupeana ujuzi kuhusu rasilimali za maji yaliyoendeshwa na shirika la maji la K-WATER nchini Korea kusiniya siku 7 ya ya kupeana uwezo katika Masuala ya Rasilimali za maji nchini Korea -Kusini