IRUWASA MKONONI MWAKO

Posted On: 5th August, 2022

IRUWASA Imeingia huduma za simu za mkononi, ambapo sasa hivi kila mwananchi mwenye simu anaweza kuwasiliana na IRUWASA kwa kubonyeza *152*00#, Kujua bili,Kujua maunganisho mapya,kujua hali ya accounti yako,kujua token ulizolipia mara ya mwisho.

Na unaweza kulipia kupitia mitandao ya simu, kupitia mabenki yote au kwa Mawakala wa Benki.

Piga bure Simu Na. 0800110122 kwa ufafanuzi zaidi