Bowser

HUDUMA YA UONDOAJI WA MAJITAKA KWA KUTUMIA GARI (SEWER BOWSER)UTARATIBU NI KAMA IFUATAVYO:

  • Mteja anatoa taarifa ya kuhitaji huduma.
  • Ukaguzi wa Mashimo ya majitaka na eneo alilopo mteja (gari inaweza kufika).
  • Malipo yanafanyika Benki ya CRDB au Wakala wa CRDB (Gharama za uondoaji wa majitaka: Wateja wa majumbani -75,000/-, Wasio wa majumbani-85,000/-, na kwa wateja walio jirani na mtandao ma majitaka -130,000/- Wateja wa Majumbani, Wateja wasio wa Majumbani – 140,000/-)

USAFI WA MAZINGIRA KATIKA MAENEO ULIPOPITA MTANDAO WA MAJITAKA

  • Kuzibua chemba za majitaka zilizoziba ili majitaka yatiririke kama inavyostahili
  • Uzibuaji wa chemba za wateja walio karibu eneo la mtandao na wasio katika eneo la mtandao kwa kulipia

KATIKA ENEO LA MTANDAO

WALIO MBALI NA ENEO LA MTANDAO

Majumbani

Wasio majumbani (biashara, taasisi)

Majumbani

Wasio majumbani

20,000/=

30,000/=

40,000/=

50,000/=