Sewerage

New sewer connection
  • Mteja awe na huduma ya Majisafi.
  • Fomu ya maombi ya kujiunga na Majitaka
  • Anafanyiwa “survey” ili kujua sehemu alipo na umbali na mtandao ulipopita
  • Gharama ya kujiunga.
  • Malipo ya gharama (inategemea na umbali ulipo mtandao).
  • Kuunganishiwa katika mtandao (ndani ya siku 7 za kazi).