RECONNECTION

  • Malipo ya Kurejesha Huduma
  • Mteja wa IRUWASA anapositishiwa hudumakutokana kutolipa bili kwa wakati,anapaswa kulipa deni lote pamoja na gharama ya kurejesha huduma hiyo. Kwa sasa Mamlaka inapokea malipo kupitia mitandao ya simu na benki ila gharama za kurejesha hudumaya maji zinafanyika katika ofisi za Mamlaka. Malipo ya kurejesha huduma ni kama ifuatavyo.