KULIPIA BILI ZA MAJI KWA CONTROL NUMBER

Posted On: 2nd August, 2022

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Iringa IRUWASA inawatangazia wateja wake na wadau wote wa huduma ya maji Iringa kuwa, mwisho wa kulipa bili bila shuruti ni tarehe 31/7/2022. Baada ya tarehe hiyo kupita wateja wote watakaokuwa hawajalipa bili zao za nyuma watasitishiwa huduma. Ili kupata bili yako, tumia simu yako kwa kubonyeza *152*00# Ok. lipa kwa Tigopesa, MPesa, Airtel money, na katika Benki za NMB, NBC, CRDB, Benki ya Posta pamoja na mawakala wate wa Benki hizo.

Epuka kusitishiwa huduma ya maji, tafadhari lipa bili yako kwa wakati ili Mamlaka iendelee kukuhudumia wewe na mwenzio.