SASA IRUWASA MKONONI MWAKO

Posted On: 20th March, 2018

IRUWASA Imeingia huduma za simu za mkononi, ambapo sasa hivi kila mwananchi mwenye simu anaweza kuwasiliana na iruwasa kwa kubonyeza *152*00#, Kujua bili,Kujua maunganisho mapya,kujua hali ya accounti yako,kujua token ulizolipia mara ya mwisho.

Na unaweza kulipia kwa MPESA,TIGOPESA,NMB BANK,CRDB BANK,BARCLAYS BANK,VITUO VYA MAXMALIPO NK