ZOEZI LA KUWAKATIA WADAIWA
Posted On: 20th March, 2018
Wateja wote ambao bado hawajalipa bili zao za maji za nyuma hadi mwezi wa Juni, 2022 zoezi la kusitisha huduma ya maji kwa wanaodaiwa bili linaendelea.
tafadhali, lipa bili yako sasa ili uendelee kuhudumiwa na IRUWASA.