News 31st October, 2023

Bodi ya Wakurugenzi IRUWASA yaridhishwa na kasi ya utekelezaji Mradi wa Isimani-Kilolo
Bodi hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti Bibi Monica Mbega iliweza kufika eneo la Mbigili pamoja na Isimani ambako mradi huo unatekelezwa, Imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi ambapo mpaka sasa mradi huo umefikisha 95%
Posted On: 31st October, 2023
News Source: NLUPC Reporters