News 19th September, 2024
IRUWASA NAMBA MBILI AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA
IRUWASA yashika nafasi ya pili kwa utoaji wa huduma bora za majisafi na usafi wa mazingira kwa Nchi za ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Bara la Afrika kwa mwaka 2022/2023.
Tuzo hii hutolewa na Jumuiya ya Wadhibiti wa huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Mashariki na Kusini mwa Bara la Afrika
Tanzania imewakilishwa na IRUWASA iliyoingia kwenye Tano Bora kwa kishika nafasi ya pili.
Posted On: 19th September, 2024
News Source: NLUPC Reporters