News 11th October, 2024

News Images

IRUWASA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA PAMOJA NA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU

Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Mteja 2024,IRUWASA Imegawa Mitungi ya gesi kwa wateja wenye mahitaji maalumu ili kuwawezesha kutumia Nishati safi ya kupikia na kuwaepusha na Nishati chafu ikiwemo matumizi ya mkaa.

Aidha katika kuendelea kuazimisha wiki ya Huduma kwa mteja IRUWASA inaendelea kutoa elimu kwa wateja wake kupitia vipindi mbalimbali vya radio,Kituo cha miito, Vipeperushi mbalimbali pamoja na kuwatembelea wateja majumbani kutatua kero mbalimbali.


Posted On: 11th October, 2024
News Source: NLUPC Reporters