News 31st October, 2023

News Images

IRUWASA YAPELEKA NEEMA KWA WAFUGAJI WA ISIMANI

Kupitia mradi wa Maji wa Isimani kilolo Jumla ya Mabirika nane ya kunyweshea mifugo yaliingiziwa maji na sasa mabirika hayo yanafanya kazi na kuondoa adha ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji katika Tarafa hiyo.


Posted On: 31st October, 2023
News Source: NLUPC Reporters