News 31st August, 2023

IRUWASA yatoa semina kwa Wadau
IRUWASA yatoa semina kwa kamati ya siasa Iringa Mjini kuhusu mpango wa IRUWASA kuboresha huduma ya maji safi na usafi wa mazingira.
Semina hiyo iliyoongozwa na Mkurugenzi mtendaji wa IRUWASA Eng.David pallangyo ikihudhuriwa na kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Iringa Mjini ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ndugu Said Lubeya.
Posted On: 31st August, 2023
News Source: NLUPC Reporters