News 24th March, 2025

News Images

IRUWASA Yaweka Jiwe la Msingi kwa Mradi wa Maji TRM Juu

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh. Kheri James Ameweka jiwe la msingi kwa mradi wa kusogeza maji katika eneo la TRM Juu. Mradi huo unatarajiwa kunufaisha wakazi zaidi ya 1,786 kwa kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama. Utekelezaji wa mradi huu ni sehemu ya jitihada za IRUWASA katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za maji na usafi wa mazingira.


Posted On: 24th March, 2025
News Source: NLUPC Reporters