News 7th September, 2022

MWENGE WA UHURU
Uzinduzi wa Mradi wa maji katika mtaa wa Ikokoto Huko Ilula ambapo Kiongozi wa Mbio za Mwenge alifurahishwa sana na utendaji wa Watumishi wa IRUWASA ambapo aliweza kuwazawadia zawadi baadhi ya Watumishi akiwemo Adv Edwin Hyera.
Posted On: 7th September, 2022
News Source: NLUPC Reporters