News 30th September, 2023

Wizara ya Maji Mshindi wa Tatu Utalii Kusini
Wizara ya maji imeshika nafasi ya tatu katika mabanda bora ya wizara yalioyoshiriki maonesho ya Utalii maarufu kama "KARIBU KUSINI".
Maonesho hayo yalianza tarehe 23/9/2023 ambapo yalizinduliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Angela Kairuki nakufikia tamati siku ya tarehe 28/9/2023.
Maonesho hayo yalipambwa nashughuli mbalimbali za utalii ikiwemo maonesho ya vivutio mbalimbali vinavyopatikana Nyanda za juu kusini lakini pia shughuli mbalimbali za kiuchumi Utamaduni na michezo.
Posted On: 30th September, 2023
News Source: NLUPC Reporters