unit
Each unit is reporting the the Managing Director (MD).
Kaulimbiu ya wiki ya maji kwa mwakahuu ni “water,life ecosystem and human development” “ Hifadhi maji na mfumo wa kiikolojia kwa maendeleo ya jamii”.Maudhui haya yanatokana na maudhui ya siku ya maji Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 22 Machi kila mwaka.
Mamlaka ikiwa ni mdau muhimu wa maji, imeandaa imeandaa shughuli mbalimbali zitakazofanyika wakati wa wiki ya maji,ikiwa ni pamoja na semina kwa Wadau katika kata za Kising’a, Nduli,Igumbilo,Isakalilo na Mkwawa. Semina hiyo imepangwa kufanyika siku ya uzinduzi wa wiki ya majitarehe 16/03/2018.
Kwa barua hii, IRUWASA inakuomba uwe Mgeni Rasmi